Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji Rufaa (Mstaafu) Mbarouk Salim Mbarouk amefunga mkutano wa Tume na wazalishaji maudhui mtandaoni kuhusu Uchaguzi Mkuu 2025
03 Aug, 2025
09:00:00 - 11:00:00
Dar Es Salaam
INEC