Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi

NEC Logo

Utawala

Katika kutekeleza majukumu yake, Tume husaidiwa na Menejimenti au Sekretarieti ambayo Mwenyekiti wake ni Mkurugenzi wa Uchaguzi na Katibu ni Mkurugenzi wa Utawala na Menejimenti ya Rasilima Watu. Wajumbe wa Menejimenti ni Wakuu wa Idara na Vitengo.

Aidha Tume ina Idara 6, Ofisi ya Zanzibar na Vitengo 3 kama ifuatavyo:-

(i) Idara ya Usimamizi wa Uchaguzi;

(ii) Idara ya Daftari na TEHAMA;

(iii) Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga Kura;

(iv) Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu;

(v) Idara ya Mipango Ufuatiliaji na Tathmini;

(vi) Idara ya Usimamizi wa Manunuzi na Lojistiki;

(vii) Ofisi ya Zanzibar;

(viii) Kitengo cha Huduma za Sheria;

(ix) Kitengo cha Fedha na Uhasibu; na

(x) Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani;