Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi

NEC Logo

Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara

Ni kosa la jinai mtu kujiandikisha zaidi ya mara moja, na ikitokea, mtu ataadhibiwa kulingana na sheria za Uchaguzi
Ndio, Mawakala wa Vyama vya Siasa vyenye Usajili wanaruhusiwa kuwa na mwangalizi mmoja kwa kila kituo cha Uandikishaji Wapiga kura .
• Ili kuweza kutimiza haki yako katika Kupiga Kura siku ya Kura ya Maoni na Uchaguzi. • Kuweza kushiriki katika uongozi Nchi yako.
• Ikiwa ana Uraia wa Nchi nyingine yaani sio Raia wa Tanzania,• Amehukumiwa kifungo cha zaidi ya Miezi Sita, • Amehukumiwa kifo na Mahakama za Tanzania, • Amethibitika kuwa hana Akili timamu
Uteuzi ni sehemu ya Mchakato wa Uchaguzi, ambapo Tume inamteua mgombea kugombea nafasi katika Uchaguzi. Mgombe huyo ni sharti awe ameteuliwa na chama chake cha Siasa.