Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi

NEC Logo

Dira na Dhima

Dira ya Tume

Uwepo wa mfumo wa uchaguzi unaoaminika na unaohakikisha chaguzi huru na za haki.

Dhima ya Tume

Kusimamia na kuratibu uendeshaji wa chaguzi kwa mujibu wa sheria ili kulinda demokrasia kwa manufaa ya wananchi, vyama vya siasa na wagombea.