Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama Kuu, Asina Omari, ametembelea na kukagua vituo vya kuandikisha wapiga kura katika Jimbo la Temeke lililopo Manispaa ya Temeke.
20 Mar, 2025
11:00:00 - 11:00:00
Temeke
INEC