Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Ndg. Ramadhani Kailima akiongoza uondoaji wa fomu za uteuzi wa wagombea wa kiti cha Rais katika ubao wa matangazo wa Tume
28 Aug, 2025
16:00:00 - 16:30:00
Dodoma
INEC
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Ndg. Ramadhani Kailima akiongoza watumishi wa Tume kuondoa fomu za uteuzi wa wagombea wa kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika ubao wa matangazo wa Tume.
