Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele ametembelea vituo vya kuandikisha wapiga kura siku ya kwanza ya uboreshaji wa Daftari Mkoa wa Dar es Salaam
17 Mar, 2025
09:00:00 - 10:00:00
Dar es Salaam
INEC
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele ametembelea vituo vya kuandikisha wapiga kura katika Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam ikiwa ni siku ya kwanza ya uboreshaji wa Daftari Mkoa wa Dar es Salaam
