Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele amezungumza na watendaji wa vituo vya kupigia kura katika Jimbo la Mpanda Mkao wa Katavi
25 Oct, 2025
10:00:00 - 03:00:00
Mpanda
INEC
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele amezungumza na watendaji wa uchaguzi ngazi ya vituo ambao ni Makarani Waongozaji wapiga Kura wa Jimbo la Mpanda

