Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi

NEC Logo

Tume yaruhusu wapiga kura kutumia simu ya kiswaswadu kuboresha au kuhamisha taarifa zao kwenye Daftari

19 Jul, 2024 Pakua

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi  imeruhusu wapiga kura kutumia simu ya kiswaswadu kuboresha au kuhamisha taarifa zao kwenye Daftari