Tume yatangaza ratiba ya Uchaguzi Mdogo wa Ubunge Chamwino na Udiwani katika kata 11
25 Sep, 2026
Pakua
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imetangaza Novemba 04, 2026 kuwa siku ya uchaguzi mdogo wa Ubunge katika Jimbo la Chamwino, Mkoa wa Dodoma pamoja na Madiwani katika kata 11 za Tanzania Bara.

