Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji Rufaa (Mstaafu) Mbarouk Salim Mbarouk amefungua mkutano wa wadau Mkoa wa Iringa
15 Dec, 2024
04:00:00 - 16:00:00
Iringa
INEC
Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji Rufaa (Mstaafu) Mbarouk Salim Mbarouk amefungua mkutano wa wadau Iringa leo Desemba 15, 2024 ambapo ametangaza ratiba ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kweye mkoa huo ambao utafanyika kwa siku saba
