Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji Rufani (Mst) Mbarouk Salim Mbarouk ametembelea mafunzo ya watendaji wa uboreshaji wa Daftari katika Wilaya Mjini, Zanzibar
14 May, 2025
09:00:00 - 00:00:00
Mjini Magharibi
INEC
Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji Rufani (Mst) Mbarouk Salim Mbarouk ametembelea mafunzo ya watendaji wa uboreshaji wa Daftari yanayofanyika katika Wilaya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi
