INEC yakubali rufaa tatu na kuwarejesha wagombea Udiwani watatu katika Uchaguzi Mdogo wa Udiwani Kata ya Bwongera
Imewekwa: 18 May, 2026
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imekubali rufaa tatu na kuwarejesha wagombea Udiwani watatu katika Uchaguzi Mdogo wa Udiwani Kata ya Bwongera. Soma Taarifa Kamili

