Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani (Mst) Mbarouk Salim Mbarouk amekagua zoezi la uboreshaji wa Daftari kwenye vituo mbalimbali vya Mkoa wa Kusini Pemba
18 May, 2025
09:00:00 - 11:00:00
Kusini Pemba
INEC
Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani (Mst) Mbarouk Salim Mbarouk amefanya ziara ya kukagua zoezi la uboreshaji wa Daftari kwenye vituo mbalimbali vya Mkoa wa Kusini Pemba
