Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani (Mst) Mbarouk Salim Mbarouk atembelea mafunzo ya watendaji wa uboreshaji wa Daftari Manispaa ya Kinondoni
11 Mar, 2025
10:00:00 - 13:00:00
Kinondoni
INEC
Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani (Mst) Mbarouk Salim Mbarouk ametembelea mafunzo ya watendaji wa uboreshaji wa Daftari Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni
