Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi

NEC Logo

Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Mstaafu, Mbarouk Salim Mbarouk amefungua mafunzo kwa watendaji wa uboreshaji wa Daftari Tanzania Zanzibar

22 Jun, 2025
10:00:00 - 00:00:00
Zanzibar
INEC

Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Mstaafu,  Mbarouk Salim Mbarouk amefungua mafunzo kwa Waratibu, Waandishi Wasaidizi na Waendesha Vifaa vya Bayometriki wa Vyuo vya Mafunzo kuhusu uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Kisiwani Unguja, Zanzibar leo tarehe 22 Juni, 2025.

Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Mstaafu,  Mbarouk Salim Mbarouk amefungua mafunzo kwa watendaji wa uboreshaji wa Daftari Tanzania Zanzibar