INEC yatoa kibali kwa taasisi na asasi tatu kutoa Elimu ya Mpiga Kura katika Uchaguzi Mdogo wa Ubunge Jimbo la Ismani na Kata 12 za Tanzania Bara
Imewekwa: 01 May, 2026
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imetoa kibali kutoa Elimu ya Mpiga Kura wakati ya Uchaguzi Mdogo wa Ubunge Katika Jimbo la Ismani na Udiwani katika Kata 12 za Tanzania Bara kwa taasisi na asasi za kiraia tatu. Soma Taarifa Kamili

