Mjumbe wa INEC, Mhe. Jaji wa Mahakama Kuu Asina Omari, amefungua kikao cha Waangalizi wa Uchaguzi waliopata kibali cha kuangalia Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa Mwaka 2025
17 Oct, 2025
11:00:00 - 02:00:00
Dodoma
INEC
Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama Kuu Asina Omari, amefungua kikao cha Waangalizi wa Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa Mwaka 2025 wa kutoa maelekezo, taarifa muhimu na miongozo kuhusu namna ya kutekeleza majukumu yao
