Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe. Balozi Omar Ramadhan Mapuri na Mkurugenzi wa Uchaguzi Ndugu. Kailima R. K, wamekutana na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe. Adam Malima
14 May, 2025
10:00:00 - 00:00:00
Morogoro
INEC
Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe. Balozi Omar Ramadhan Mapuri na Mkurugenzi wa Uchaguzi Ndugu. Kailima R. K, wamekutana na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe. Adam Malima na kuzungumza naye kuhusu uboreshaji wa Daftari
