Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama Kuu, Mhe. Asina Omari amezungumza na washiriki wa mafunzo ya waandishi wasaidizi na waendesha vifaa vya bayometriki wa Kisarawe DC
10 Feb, 2025
10:00:00 - 10:00:00
Kisarawe
INEC
Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi ambaye pia ni Jaji wa Mahakama Kuu, Mhe. Asina Omari amewatembelea na kuzungumza na washiriki wa mafunzo ya waandishi wasaidizi na waendesha vifaa vya bayometriki wa Kisarawe DC
