Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama Kuu, Asina Omari ameongoza kikao cha pamoja na Wadau wa Uchaguzi Wilayani Geita kuhusu ugawaji wa Jimbo la Busanda
22 Apr, 2025
00:00:00 - 00:00:00
Geita
INEC
Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama Kuu, Asina Omari leo tarehe 23 April, 2025 ameongoza kikao cha pamoja kati ya Tume na Wadau wa Uchaguzi katika Halmashauri ya Wilaya ya Geita kuhusu maombi ya kuligawa Jimbo la Busanda
