Mkurugenzi wa Uchaguzi wa INEC akiwasilisha mada ya Uboreshaji kwenye mkutano wa Tume na wadau wa uchaguzi ikiwa ni maandalizi ya uboreshaji wa Daftari
10 Jun, 2024
07:30:00 - 14:00:00
Mlimani City , Dar Es Salaam
NEC
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi amewasilisha mada ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwenye mkutano wa Tume na wadau wa uchaguzi ikiwa ni maandalizi ya Uandikishaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura