Mkurugenzi wa Uchaguzi wa INEC Ndg. Kailima Ramadhani ameongoza ubandikaji fomu za uteuzi za wagombea wa kiti cha Rais na Makamu wa Rais kupitia ACT- Wazalendo
                                
                                    
                                                                            13 Sep, 2025
                                                                    
                            
                        
                                
                                    
                                    04:00:00 - 10:02:00
                                
                            
                        
                                
                                     
                                    Dar Es Salaam
                                
                            
                        
                                
                                     
                                    INEC
                                
                            
                        Mkurugenzi wa Uchaguzi wa INEC Ndg. Kailima Ramadhani ameongoza zoezi la kubandika fomu za uteuzi za mgombea wa kiti cha Rais Mhe. Luhaga Mpina na Makamu wa Rais Mhe. Fatma Ferej kupitia ACT- Wazalendo
                            
