Mkurugenzi wa Uchaguzi wa INEC Ndg. Ramadhani Kailima amefunga kikao na wawakilishi wa vyama 18 vya siasa kupanga ratiba ya kampeni kwa wagombea wa kiti cha Rais na Makamu wa Rais
26 Aug, 2025
11:00:00 - 17:00:00
Dodoma
INEC
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa INEC Ndg. Ramadhani Kailima amefunga kikao na wawakilishi wa vyama 18 vya siasa kujadili na kupanga ratiba ya kampeni za uchaguzi kwa wagombea wa kiti cha Rais na Makamu wa Rais.
