Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Ndg. Kailima Ramadhani amekabidhi nakala ya orodha ya wananchi waliojiandikisha zaidi ya mara moja kwa Jeshi la Polisi
26 Jul, 2025
10:00:00 - 00:00:00
Dodoma
INEC
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Ndg. Kailima Ramadhani amekabidhi nakala ya orodha ya wananchi waliojiandikisha zaidi ya mara moja kwa Jeshi la Polisi
