Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi

NEC Logo

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Ndg Kailima Ramadhani ameongoza mkutano na wawakilishi wa vyama vya siasa kupitia ratiba ya kampeni kwa wagombea wa Kiti cha Rais

30 Aug, 2025
03:00:00 - 03:30:00
Dodoma
INEC

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Ndg Kailima Ramadhani ameongoza mkutano na wawakilishi wa vyama vya siasa kupitia ratiba ya mikutano ya kampeni za wagombea wa Kiti cha Rais katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Ndg Kailima Ramadhani ameongoza mkutano na wawakilishi wa vyama vya siasa kupitia ratiba ya kampeni kwa wagombea wa Kiti cha Rais