Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Ndugu. Kailima Ramadhani amefungua kikao kazi cha Tume na taasisi na asasi hizo kilichofanyika Mkoani Dodoma.
08 Sep, 2025
10:00:00 - 10:30:00
Dodoma
INEC
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Ndugu. Kailima Ramadhani leo tarehe 08 Septemba, 2025 amefungua kikao kazi cha Tume na taasisi na asasi hizo kilichofanyika Mkoani Dodoma.
