Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi

NEC Logo

Mwenyekiti wa INEC, Mhe. Jaji wa Rufaa, Jacobs Mwambegele amefungua mafunzo ya watendaji wa uchaguzi Mdogo wa Ubunge Jimbo la Chamwino na Udiwani katika Kata 11 za Tanzania Bara

29 Sep, 2026
10:00:00 - 11:00:00
Tabora
INEC

Mwenyekiti wa INEC, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Jacobs Mwambegele amefungua mafunzo ya watendaji wa uchaguzi kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma na Kata 11 za Tanzania Bara

Mwenyekiti wa INEC, Mhe. Jaji wa Rufaa, Jacobs Mwambegele amefungua mafunzo ya watendaji wa uchaguzi Mdogo wa Ubunge Jimbo la Chamwino na Udiwani katika Kata 11 za Tanzania Bara