Mkutano Mkuu wa 28 wa Mwaka wa Jukwaa la Tume za Uchaguzi za Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (ECF-SADC)
Imewekwa: 17 Nov, 2026
Mkutano Mkuu wa 28 wa Mwaka wa Jukwaa la Tume za Uchaguzi za Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (ECF-SADC), utafanyika kuanzia tarehe 23 hadi 25 Novemba, 2026.
Mkutano huo utafanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency Mkoa wa Dar es Salaam na utafunguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

