Mwenyekiti wa INEC Mhe. Jaji wa Rufaa Jacobs Mwambegele amekabidhi fomu za uteuzi kwa Mhe. Luhaga Joelson Mpina aliyependekezwa kugombea Kiti cha Rais kupitia Chama cha ACT-Wazalendo
15 Aug, 2025
15:00:00 - 15:30:00
Dodoma
INEC
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufaa Jacobs Mwambegele amekabidhi fomu za uteuzi kwa Mhe. Luhaga Joelson Mpina aliyependekezwa kugombea Kiti cha Rais kupitia ACT-Wazalendo
