Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi

NEC Logo

Mwenyekiti wa INEC), Mhe. Jaji wa Rufaa Jacobs Mwambegele (kushoto) ameongoza kikao cha Tume Mjini Unguja, Zanzibar kujadili uboreshaji wa Daftari.

05 Sep, 2024
09:00:00 - 15:00:00
Zanzibar
INEC

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe. Jaji wa Rufaa Jacobs Mwambegele (kushoto) leo tarehe 05 Septemba, 20224 ameongoza kikao cha Tume kwenye Ofisi za INEC Mjini Unguja, Zanzibar  kujadili uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.

Mwenyekiti wa INEC), Mhe. Jaji wa Rufaa Jacobs Mwambegele (kushoto) ameongoza kikao cha Tume Mjini Unguja, Zanzibar  kujadili uboreshaji wa Daftari.