Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi

NEC Logo

Mwenyekiti wa INEC, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele akizungumza na Mkuu wa Magereza Mkoa wa Geita, ACP. Jonam Mwakasagule (katikati) na Mkuu wa Gereza la Geita, SSP. Jovin Bujwina.

29 Jun, 2025
09:00:00 - 11:00:00
Geita
INEC

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele akizungumza jambo na Mkuu wa Magereza Mkoa wa Geita, ACP. Jonam Mwakasagule (katikati) na Mkuu wa Gereza la Geita, SSP. Jovin Bujwina (kulia) wakati Mwenyekiti wa Tume alipotembelea gereza hilo kukagua mwenendo wa zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura unaoendelea katika Magereza ya Tanzania Bara na Vyuo vya mafunzo kwa Zanzibar. Zoezi hilo lilianza Juni 28 na litamalizika Julai 04,2025. (Picha na INEC).

Mwenyekiti wa INEC, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele akizungumza na Mkuu wa Magereza Mkoa wa Geita, ACP. Jonam Mwakasagule (katikati) na Mkuu wa Gereza la Geita, SSP. Jovin Bujwina.