Mwenyekiti wa INEC Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele amewateua Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na Mhe. Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwa wagombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais kupitia CCM
27 Aug, 2025
07:30:00 - 08:00:00
Dodoma
INEC
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufani Jacobs Mwambegele amewateua Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na Mhe. Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwa wagombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais kupitia CCM
