Mwenyekiti wa INEC Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele amewateua Mhe. Hassan Kisabya Almas na Mhe. Hamisi Ally Hassan kuwa wagombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais kupitia NRA
27 Aug, 2025
08:30:00 - 09:00:00
Dodoma
INEC
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufani Jacobs Mwambegele amewateua Mhe. Hassan Kisabya Almas na Mhe. Hamisi Ally Hassan kuwa wagombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais kupitia NRA
