Mwenyekiti wa INEC Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele amewateua Mhe. Kunje Ngombale Mwiru na Mhe. Shum Juma Abdalla kuwa wagombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais kupitia AAFP
28 Aug, 2025
00:00:00 - 00:30:00
Dodoma
INEC