Mwenyekiti wa INEC Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele amewateua Mhe. Wilson Elias Mulumbe na Mhe. Shoka Khamis Juma kuwa wagombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais kupitia ADC.
29 Aug, 2025
04:10:00 - 04:15:00
Dodoma
INEC