Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele amefungua Mkutano wa Tume na Waandishi wa Habari kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025
02 Aug, 2025
11:00:00 - 00:00:00
Dar Es Salaam
INEC
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele amefungua Mkutano wa Kitaifa kati ya Tume na Waandishi wa Habari kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025
