Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufaa Jacobs Mwambegele amekakabidhi fomu za uteuzi kwa Hassan Kisabya Almas, aliyependekezwa kugombea Kiti cha Rais kupitia NRA
09 Aug, 2025
14:00:00 - 14:30:00
Dodoma
INEC
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele amekakabidhi fomu za uteuzi kwa Mhe. Hassan Kisabya Almas, mteule wa Kiti cha Rais kupitia NRA
