Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufaa Jacobs Mwambegele amekakabidhi fomu za uteuzi kwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, aliyependekezwa kugombea Kiti cha Rais kupitia CCM
09 Aug, 2025
11:00:00 - 00:00:00
Dodoma
INEC
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele amekakabidhi fomu za uteuzi kwa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, mteule wa Kiti cha Rais kupitia CCM
