Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufani Jacobs Mwambegele amefungua mkutano wa Tume na Wahariri wa Vyombo vya Habari kuhusu uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025
01 Aug, 2025
09:00:00 - 11:00:00
Dar Es Salaam
INEC
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufani Jacobs Mwambegele amefungua mkutano wa kitaifa wa Tume na Wahariri wa Vyombo vya Habari kuhusu uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025
