Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufaa Jacobs Mwambegele amekabidhi fomu za uteuzi kwa Coster Jimmy Kibonde aliyependekezwa kugombea Kiti cha Rais kupitia MAKINI
10 Aug, 2025
09:00:00 - 10:00:00
Dodoma
INEC
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufaa Jacobs Mwambegele amekabidhi fomu za uteuzi kwa Mhe. Coster Jimmy Kibonde aliyependekezwa kugombea Kiti cha Rais kupitia Makini
