Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufaa Jacobs Mwambegele amekabidhi fomu za uteuzi kwa Mhe. Gombo Samandito Gombo aliyependekezwa kugombea Kiti cha Rais kupitia CUF
13 Aug, 2025
15:00:00 - 15:30:00
Dodoma
INEC