Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufaa Jacobs Mwambegele amekabidhi fomu za uteuzi kwa Mhe. Kunje Ngombale Mwiru aliyependekezwa kugombea Kiti cha Rais kupitia AAFP
09 Aug, 2025
15:00:00 - 15:45:00
Dodoma
INEC
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele amekakabidhi fomu za uteuzi kwa Mhe. Kunje Ngombale Mwiru aliyependekezwa kugombea Kiti cha Rais kupitia AAFP
