Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufaa Jacobs Mwambegele amekabidhi fomu za uteuzi kwa Mhe. Salum Mwalimu aliyependekezwa kugombea Kiti cha Rais kupitia CHAUMA
12 Aug, 2025
13:30:00 - 14:00:00
Dodoma
INEC
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufaa Jacobs Mwambegele amekabidhi fomu za uteuzi kwa Mhe. Salum Mwalimu aliyependekezwa kugombea Kiti cha Rais kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA)
