Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufaa Jacobs Mwambegele amekabidhi fomu za uteuzi kwa Mhe. Saum Hussein Rashid aliyependekezwa kugombea Kiti cha Rais kupitia UDP
15 Aug, 2025
09:00:00 - 09:30:00
Dodoma
INEC