Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufaa Jacobs Mwambegele amekabidhi fomu za uteuzi kwa Mhe. Twalib Ibrahim Kadege aliyependekezwa kugombea Kiti cha Rais kupitia UPDP
10 Aug, 2025
14:00:00 - 15:00:00
Dodoma
INEC