Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufaa Jacobs Mwambegele amekabidhi fomu za uteuzi kwa Yustas Mbatina Rwamugira aliyependekezwa kugombea Kiti cha Rais kupitia TLP
11 Aug, 2025
14:00:00 - 14:30:00
Dodoma
INEC
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufaa Jacobs Mwambegele amekabidhi fomu za uteuzi kwa Mhe. Yustas Mbatina Rwamugira aliyependekezwa kugombea Kiti cha Rais kupitia TLP
