Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele akizungumza na watendaji wa uchaguzi katika Jimbo la Mafinga Mjini Mkoa wa Iringa
21 Sep, 2025
10:00:00 - 12:00:00
Mafinga Mjini
INEC
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele akizungumza na watendaji wa uchaguzi katika Jimbo la Mafinga Mjini Mkoa wa Iringa ambapo aliwasisitiza kutekeleza majukumu yao kwa weledi na ufanisi.
