Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani, Jacobs Mwambegele amefungua mafunzo kwa watendaji wa uboreshaji wa Dafatri kwa Magereza ya Tanzania Bara
22 Jun, 2025
10:00:00 - 00:00:00
Dodoma
INEC
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufani, Jacobs Mwambegele amefungua mafunzo kwa watendaji wa uboreshaji wa Dafatri la Kudumu la Wapiga Kura kwenye Magereza ya Tanzania Bara yaliyofanyika Mkoani Dodoma leo tarehe 22 Juni, 2025.
