Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele amekagua mwenendo wa uboreshaji wa Daftari wilayani Bagamoyo na Chalinze Mkoa wa Pwani
18 May, 2025
09:00:00 - 11:00:00
Bagamoyo
INEC
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele ametembelea na kukagua mwenendo wa uboreshaji wa Daftari na uwekaji wazi wa Daftari la Awali katika halmashauri za wilaya ya Bagamoyo na Chalinze
